Taifa Gas ni kampuni inayojihusisha na uagizaji na usambazaji wa gesi inayotumika majumbani, mahotelini, viwandani na taasisi mbalimbali.
Taifa Gas Tanzania LTD, inakuletea mfumo mpya unaokuwezesha wewe mteja kuchagua na kulipia bidhaa kidogo kidogo kadiri ya uwezo wako, na hatimaye kuchukua bidhaa hiyo katika maduka yetu ya Tiafa Gas nchini utakapomaliza malipo.
Huu ni mfumo unaompa urashisi mteja wa Taifa Gas kuagaiza bidhaa zetu na kuletewa katika eneo lake kwa urahisi
Wasiliana nasi kupitia namba za simu : 0769351165 au mitandao ya kijamii
Copyright © 2020-
Taifa Gas Tanzania Ltd All Rights Reserved